Партнерка на США и Канаду по недвижимости, выплаты в крипто
- 30% recurring commission
- Выплаты в USDT
- Вывод каждую неделю
- Комиссия до 5 лет за каждого referral
WAMA NAKAYAMA SECONDARY SCHOOL


Executive Secretary, The Headmistress
WAMA Foundation – HEADQUARTES, P. O. Box 35
P. O. Box 10641, Kawe, Dar es Salaam Nyamisati-Kibiti
Office Tel: +255 22 2126516; COAST REGION
Mobile: 0685-651449, 0789-000341
Email: *****@***or. tz/ Website: www. wamafoundation. or. tz
FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA
2016
1. UTANGULIZI
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inawaalika wanafunzi wa kike wenye sifa za kujiunga na kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya wasichana ya WAMA-Nakayama iliyopo kijiji cha Kibiti Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. Shule ya sekondari ya WAMA-Nakayama ni shule ya kisasa ya bweni inayosomesha wanafunzi wanaotoka katika Mazingira Magumu/Hatarishi na Yatima. Hata hivyo, kwa ajili ya kuhakikisha maendeleo endelevu ya shule na mazingira bora ya usomaji (ufundishaji na ujifunzaji) yenye ushindani, tunawaalika wanafunzi wengine kutoka kwenye familia zenye uwezo wa kulipa ada. Fedha zitakazolipwa zitasaidia Taasisi kuendelea kuwasomesha wanafunzi ambao wasingeweza kupata Elimu ya sekondari bila ya Msaada.
Shule ina majengo mazuri na ya kisasa kwa kufundishia na kujifunzia ikiwa ni pamoja na Maabara, Maktaba iliyosheheni Vitabu, Chumba cha Kompyuta, Madarasa makubwa, Mabweni, Viwanja vya Michezo, pamoja na Wataalamu wa maabara, Kompyuta na Walimu wazoefu katika fani zote. Shule inafanya vizuri sana katika mitihani ya kitaifa kama inavyojionesha katika matokeo ya mtihani wa taifa kidato cha pili na cha nne mwaka 2013 na 2014.
Shule yetu mpaka sasa ina wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha Sita. Kwa kidato cha Tano na Sita, shule ina michepuo miwili ya Biashara na Sayansi, katika tahasusi za ECA, PCB, CBG na PCM.
Picha ya muombaji ya hivi karibuni (iandikwe jina kwa nyuma) |
SEHEMU A. (TAARIFA ZA MWANAFUNZI)
Tarehe Ya Kuzaliwa ________________________________________
Uraia _______________________________________________
Dini _________________________________________________
Jina na anuani ya Shule uliyomaliza ___________________________________
Mwaka uliyomaliza ________________________________________________
Namba ya mtihani ______________________________________
Anuani ya sasa ________________________________________________________
Simu ya nyumbani: ___________________ Simu ya mkononi: _________________________
Nukushi : ___________________
Barua pepe : ____________________________________
1.01 Familia yenu ina watoto wangapi? ________________________________
1.02 Una wazazi wote wawili? (weka alama hii √)
2. MAMBO YA KIAFYA
2.01 Una matatizo yoyote ya kiafya yanayohitaji uangalizi maalumu? (weka alama √)
Kama ndiyo (weka alama √)
Mengine: (Yataje)
2.01 Kama ndio hapo juu : Je uko kwenye Matibabu? (weka alama √)
Kama ndiyo elezea __________________________________________________
___________________________________________________________________________
___________________________________________________________________________
2.02 Una ulemavu wowote (weka alama√)
Kama ndiyo elezea ni ulemavu gani? _______________________________________
___________________________________________________________________________
___________________________________________________________________________
3. MZAZI/MLEZI (TAFADHALI JAZA KWA UKAMILIFU )
Baba | Mama | Mlezi | |
Jina la ukoo | |||
Majina mengine | |||
Kazi | |||
Mwajiri | |||
Simu ya mkononi | |||
Anuani ya kazini | |||
Simu ya ofisini | |||
Nukushi | |||
Barua pepe |
4. MATOKEO YA MWANAFUNZI YA MTIHANI WA TAIFA DARASA LA SABA
SOMO | ALAMA | MAELEZO |
HISABATI (MATHEMATIICS) | ||
SAYANSI (SCIENCE) | ||
KISWAHILI ( SWAHILI) | ||
KIINGEREZA (ENGLISH) | ||
MAARIFA YA JAMII (SOCIAL SCIENCE) |
GPA YA.............................................................................
Saini ya mwanafunzi ……………………………………Tarehe ……………………………
5. TAARIFA ZA SHULE UNAYOTOKA
Jina la shule _________________________________________________________________
Anuani ______________________________________________________________
Namba ya simu _________________________________________________________________
Barua pepe______________________________________________________________________
Nukushi_____________________________________________________________________
SEHEMU B: TAARIFA ZA MZAZI/MDHAMINI
Kama mwanafunzi anadhaminiwa na Taasisi au Serikali aleta barua ya maelezo/Ahadi/ Makubaliano kutoka kwa mdhamini.
(a) Majina ya mzazi/ Mdhamini ____________________________________________________
(b) Tamko la Mzazi/ Mdhamini juu ya ulipaji wa ada ya shule:________________________
Saini _________________________ Tarehe _____________________
MTIHANI WA KUJIUNGA NA SHULE
Mtihani wa kujiunga na shule utafanyika katika shule ya sekondari ya Jangwani iliyopo Dar es Salaam tarehe 12/11/2015 siku ya alhamisi kuanzia saa tatu (09:00) asubuhi.
Fomu zote zirudishwe katika ofisi za Taasisi ya WAMA mtaa wa Luthuli- Dar es Salaam.
Maombi yote yaelekezwe kwa Katibu Mtendaji, Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), S. L.P 10641, Kawe karibia na Picolo Beach Hotel Dar es Salaam, na yaandikwe vizuri juu ya bahasha “Maombi ya kujiunga na kidato cha kwanza, shule ya sekondari WAMA Nakayama”, au nakala iliyo skaniwa itumwe kwenda kwenye barua pepe zifuatazo : *****@***or. tz, *****@***com na *****@***com
Fomu zote zifike WAMA kabla ya tarehe 11/11/2015.
Ada au gharama za fomu shilingi Elfu ishirini (20,000/=) ambazo hazitarudishwa zilipwe kwenye Akaunti ya CRDB Namba 0150043016403, Jina la akaunti : WAMA NAKAYAMA.
Ambatanisha nakala halisi ya malipo kutoka benki pamoja na fomu hii wakati wa kurudisha.
OUR MOTTO: EDUCATION FOR GIRLS LIBERATION!


